Wednesday, 5 February 2020

BARAKA MCHACHUKO - 3

BARAKA MCHACHUKO - 3

BARAKA MCHACHUKO - 3

IMEANDIKWA NA : JUMA HIZA

*********************************************************************************

Chombezo : Baraka Mchachuko
Sehemu Ya Tatu (3)Mlango uliendelea kugongwa kitendo ambacho kilinifanya nianze kuingiwa na hofu kubwa moyoni. Sikutaka kuamini kama nilikuwa nimefumaniwa na mume wa Nurath tena ndani ya chumba chake. Nilipomuangalia Nurath alionekana kuchanganyikiwa huku akiwa hajui ni nini ambacho alitakiwa kukifanya kwa muda huo, alikuwa akizunguka huku na kule kama mwendawazimu mwisho akaokota khanga na kujifunika.
Sikutaka kupoteza muda, haraka sana nikavaa nguo zangu kisha nikaenda kujificha nyuma ya mlango ambapo nilimwambia Nurath atakapoufungua tu! Kitu cha kwanza alichotakiwa kukifanya ni kumpumbaza mume wake kwa kumkumbatia na kumziba uso huku akimwambia kwamba kuna sapraizi yake aliyomuandalia, kwa kufanya hivyo na mimi ningeweza kutoka kirahisi pale nyuma ya mlango bila mume wake kugundua lolote.
Wakati nilipokuwa nikimwambia hayo kwa sauti ya chini kabisa nilionekana kujiamini kitendo ambacho kilimshangaza Nurath.
“Kwahiyo?” aliniuliza.
“Nenda kafungue mlangoo ila ufanye kama nilivyokwambia,” nilimwambia.
“Sawa,” alisema kisha akaufungua mlango huku akionekana kuogopa.
“Oppssss!” nilimsikia akivuta pumzi ndefu na kuiachia kwa pupa mithili ya mfa maji kisha akaufunga mlango kwa ghadhabu.
“Nini?” nilimuuliza.
“Hakuna mtu,” alinijibu.
“Hakuna mtu kivipi au ni mtego?”
“Hakuna mtu Baraka nimeangalia kila kona.”
“Atakuwa ni nani sasa?”
“Mimi sijui.”
Wakati nikizungumza na Nurath mara nikaisikia sauti ya Mama Latifa, alikuwa akimuita Nurath. Nurath akatoka nje kumsikiliza.
“Shoga yangu nimegonga mlango mpaka basi mimi nilifikiri labda umetoka kumbe upo ndani?” aliuliza Mama Latifa.
“Nipo niende wapi shoga yangu?” alisema Nurath.
“Nilikuwa nakusalimia tu! Maana hatujaonana leo, sijakuona hata ukitoka nje.”
“Ni kweli leo nimeamka na uchovu ila nipo salama wala usijali vipi Latifa yuko wapi?”
“Yupo huko nje anacheza na wenzake.”
Walipomaliza kuzungumza nikawasikia wakiagana kisha Nurath akarudi ndani. Kwa akili ya haraka haraka nilihisi tayari Mama Latifa alihisi kitu kilichokuwa kikiendelea mule ndani maana hata jinsi alivyokuwa akiuliza maswali yake alionekana dhahiri kwamba alifahamu kila kitu kilichokuwa kikiendelea na alikuja kuuliza ili kupata ushahidi.
“Ni nani huyo?” nilimuuliza Nurath huku nikijifanya kama sijawasikia.
“Ni Mama Latifa,” alinijibu.
“Anataka nini?” 
“Amekuja kunijulia hali maana tangu asubuhi hajaniona.”
“Mmh!”
“Nini?”
“Kweli.”
“Kweli yaani mimi nimeogopa nilidhani ni mume wangu.”
“Hahaha! Sawa basi acha niondoke zangu.”
“Uondoke unaenda wapi Baraka?”
“Ndani kwangu hapa naona hali ya hewa imeshachafuka na muda wowote naweza nikakamatwa na mwenye mali.”
“Noo Baraka usiseme hivyo pleaseee.”
“Kama ni hivyo basi twende ndani kwangu,” nilimwambia.
Ingawa alionekana kuwa mgumu mno! kuingia ndani kwangu na hata pale alipoingia alikuwa akiniwekea ngumu lakini siku hiyo alilegeza kamba kiasi kwamba mpaka kuna muda nikawa nashangaa. Kila nilichokuwa nikimwambia akifanye alikifanya na mwisho tukaingia ndani ya chumba changu kwa siri sana.
Sikutaka kupoteza muda, mule ndani nikamuweka Nurath kitandani, nikamvua khanga na kumuacha kama alivyozaliwa. Akili yangu ilichanganyikiwa, kabla ya Nurath niliwahi kufanya mapenzi na wasichana kadhaa lakini siku hiyo nilionekana kuwa mgeni kabisa wa mambo hayo.
Nilimtamani kupita kawaida, nilimuona Nurath kuwa msichana mzuri mno, kiuno chake kilikuwa kama cha nyigu. Nilichukua rimoti ya home theatre kisha nikafungulia muziki laini. Kwa kasi ya ajabu nikavua nguo zangu zote na kubaki kama nilivyozaliwa, halafu nikamfuata Nurath kitandani, nikamwambia kwamba siku hiyo ilikuwa ni siku ya vita vikali, yaani nisingeweza kumuacha hata kidogo.
Baada ya kumwambia hivyo Nurath nikaenda kuchukua kopo la asali kisha nikampaka kifuani na chini ya kitovu halafu nikamwambia kwamba nilikuwa nina hamu ya kuitoa asali hiyo mwilini mwake kwa kutumia ulimi wangu.
Sikutaka kupoteza muda hata kidogo, nikaianza kazi ya kulamba asali huku nikitumia ufundi wa hali ya juu, nilikuwa hatari, mwenye michezo ya kutisha.
Nurath alichanganyikiwa, hakujua ufundi wa kulamba asali mwilini mwake niliutolea wapi kwani hakuwahi kuuona wala kuusikia hapo kabla lakini kwangu nilikuwa nina ujuzi nao tena ulionekana kuwa ni wa kitambo tu!
Kazi yangu ilikuwa ni kuitoa asali hiyo, kwenye kila hatua ya kiungo cha mwili niliyokuwa nikiifanya kuitoa asali hiyo, Nurath alikuwa akilia kama mtoto mdogo, ilikuwa ni shida, kama ni miujiza, siku hiyo ilikuwa ni balaa tena lilikuwa sio la kitoto.
Nilipomaliza kuilamba asali yote, kazi niliyoibakiza ilikuwa ni kumuonyesha Nurath ni jinsi gani nilivyokuwa hatari wa kucheza mchezo ule mchafu.
Nurath akaanza kutokwa na miguno, alikuwa akijishika huku na kule. Nilimuwajibisha vilivyo huku nikipita kila kona. Akazidi kutokwa na miguno mbalimbali.
“Baraka….aishiiii….Baraka…utaniua jamaniiii,” alisema Nurath huku akiendelea kutoa miguno ya kimapenzi.
Alichanganyikiwa vibaya mno! Alifunga magoli ya aina yote siku hiyo mpaka kufikia muda ambao tulimaliza shughuli, alikuwa hoi kiasi kwamba mpaka akashindwa kuinuka pale kitandani, akabaki akiniangalia huku asiwe na la kusema, akatabasamu. 
Moyoni mwangu bado nilikuwa nina hofu juu ya mume wake ambaye alikuwa kazini, nikamuuliza kisha nikamwambia kwamba ingekuwa sio jambo jema kama angeondoka na kwenda kwenye chumba chake kwa usalama zaidi. Nurath akafanya kama nilivyomwambia, akaondoka na kwenda chumbani kwake.
Baada ya kupita dakika kadhaa nikamsikia akitoka tena chumbani kwake, safari hii alikuwa akienda bafuni kuoga. Nilibaki nikitabasamu peke yangu mule chumbani huku nikijisemea kimoyomoyo kwamba kazi ndiyo kwanza ilikuwa imeanza, baada ya Nurath walitakiwa kufuata wapangaji wengine. Hawakunijua kama mimi ndiye Baraka Mchachuko niliyeweka chata kwenye mapaja ya wasichana wengi.
****
Jioni ya siku hiyo nilitoka kwenda kwenye mizunguko yangu ikiwa ni pamoja na kwenda kukaa na washikaji maskani kupiga nao stori mbili tatu kuhusu maisha na mademu kwani wiki hiyo ndiyo ilikuwa wiki yangu ya mwisho ya likizo ya mwezi mmoja niliyochukua ofisini.
Siku hiyo nilionekana kuwa ni mwenye furaha mno! kupita siku zote nilizowahi kufurahi katika maisha yangu, yaani furaha niliyokuwa nayo kwa wakati huo ilikuwa ni ya kufanikiwa kufanya mapenzi na Nurath mwanamke ambaye alionekana kuwa ni mgumu kama chuma cha pua lakini mwisho wa siku nilifanikiwa kumchezesha samba kwenye kitanda changu.
“Umeshinda Bet nini? Mbona unacheka cheka kama mwehu?” aliniuliza Isack.
“Kuna demu alinibania sana akaniambia hawezi kuwa na mimi lakini huwezi kuamini leo mwenyewe kajileta na tunda nimemega kisela,” nilimjibu huku nikiendelea kucheka.
“Demu gani huyo?”
“Huwezi kumjua, demu mwenyewe ni kisu hatari.”
“Mmmh! Anaishi wapi?”
“Huwezi kuamini halafu ni wa hukuhuku Tandale.”
“Demu gani huyo? Anaitwa nani? Na anakaa mtaa upi?”
“Mzee baba hayo maswali yako nenda kawaulize serikali za mitaa watakujibu ila wewe jua demu anaitwa Nurath ni kisu hatari,” nilimjibu Isack huku nikizidi kumchanganya.
Kitendo cha kumwambia kwamba siku hiyo nililala na Nurath tena mwenyewe ndiye aliyenitunuku, hakutaka kuamini. Alihitaji kumfahamu zaidi ili ikibidi na yeye ajaribu bahati yake lakini sikuwa tayari kumuonyesha. Hilo lilizidi kumuudhi lakini nilimwambia ni mara kumi anchukie kuliko ni muonyeshe mwanamke huyo.
****
Niliporudi nyumbani usiku wa siku hiyo sikuhitaji tena kupika chakula kwani nilikula hukohuko nilipotoka, nilichukua ndoo yangu ya bafuni ambayo niliijaza maji na kisha nikaenda kuoga. Nilipotoka bafuni nilishangaa kumuona Mama Latifa akiwa mlangoni mwa chumba changu, alionekana kuwa ni mtu ambaye aliinisubiria kwa hamu sana tena muda mrefu. Nilipofika nikamsalimia kisha nikamuuliza kulikuwa kuna tatizo gani na mbona alikuwa amesimama mlangoni kwangu?
“Hujui ulichokifanya leo?” aliniuliza huku akiwa amenishikia kiuno.
“Nimefanya nini?” nilimuuliza huku nikishangaa.
“Usijifanye hujui ulichokifanya kwa taarifa yako nimeona kila kitu, umelala na Nurath mke wa Noel,” aliniambia maneno ambayo yalinishtua, nikajikuta nikiiachia ile ndoo niliyokuwa nimeshika bila kupenda, ikabiringika kule.


Mama Latifa aliendelea kuniambia kwamba alisikia kila kitu na kuona nilichokuwa nikikifanya na Nurath mule chumbani kwangu na kwamba hakupendezewa nacho, aliniambia kwamba alipanga kumwambia mume wa Nurath kwa uchafu tuliyokuwa tumeufanya.
Nilibaki nikiwa nimeduwaa huku nikiendelea kumtazama mama huyo ambaye alionekana kuchukizwa vibaya mno! Hata katika uzungumzaji wake, alikuwa akizungumza kwa jazba utafikiri yeye ndiye aliyemegewa mke.
“Nakwambia lazima nimwambie Noel kwa huu uchafu uliyoufanya leo, yaani huoni hata haya lijanaume wewe unatembea mke wa mtu kweli?” aliniuliza kwa jazba, nikamwambia apunguze sauti maana kama angeendelea angesababisha majirani wengine kutoka nje na kuharibu kila kitu.
“Niache mimi usinitulize nakwambia tena unikome lazima nimwambie Noel umetembea na mke wake,” aliniambia. 
“Sasa Mama Latifa usifikie huko.”
“Acha nifike hivi unadhani kitendo ulichokifanya ni kizuri, unatembea na Nurath.”
“Tafadhali nakuomba usifikie huko, kweli nimekosea lakini nakuomba tuyamalize, tafadhali nakuomba.”
“Hatuyamalizi, yatamfikia Noel yakiwa bado mabichi,” aliniambia kisha akaondoka na kwenda kuingia chumbani kwake.
Mpaka kufikia hapo hata nguvu ya kutembea kuingia chumbani kwangu iliniishia, nilibaki nimesimama pale mlangoni na taulo langu mpaka pale walipotoka baadhi ya wapangaji, wakanikuta nimesimama mlangoni kwangu, wakaniuliza kulikuwa kuna nini? Maana walisikia kama malumbano.
“Hapana hakuna kitu,” niliwajibu.
“Halafu nimeisikia sauti kama ya mama Latifa akiongea kwa kufoka au nyie wenzangu hamjaisikia?” aliuliza Zuhura huku akiwatazama wapangaji wenzake ambao walimuitikia kwamba na wao pia waliisikia sauti ya Mama Latifa, Subira yeye hakujibu kitu aliubetua mdomo wake na kisha akaingia zake ndani.
“Mmh! Huyu naye jini kisirani,”alisema Zuhura.
“Kwani mpaka leo bado hujamzoea tu?” aliuliza Zaituni.
“Achana naye,” alisema Zuhura.
Nilipoona mazungumzo yamebadilika na kuhamia kwa Subira, niliamua kuingia ndani ya chumba changu lakini moyoni mwangu bado nilikuwa nina hofu kubwa mno!
Niliketi kitandani vilevile na taulo langu lakini macho yangu na masiko yangu yalikuwa nje muda wote, kila mara nilikuwa nikichungulia dirishani kuona kama mume wa Nurath angerudi na mama Latifa kutoka na kwenda kumwambia kwamba nilitembea na mke wake.
Nisikudanganye kitu, hakuna siku niliyoogopa na kuwaza mambo mengi kama siku hiyo. Niliposikia mtu akifungua mlango tu! Haraka nilikimbilia dirishani kuchungulia kama alikuwa ni mume wa Nurath au mama Latifa ambaye alionekana kudhamiria kunichafua.
Mapigo ya moyo wangu yaliongezeka kasi, yalizidi kudunda vibaya mno! Hofu niliyokuwa nayo moyoni kwa wakati huo ilikuwa sio ya kitoto.
Baada ya kupita dakika kadhaa nikasikia mlango ukifunguliwa, haraka sana nikawahi dirishani kuchungulia. Nikamuona mume wa Nurath akiingia ndani ya chumba chake ambapo haikuchukua muda mlango wa chumba hicho ukafungwa.
Wakati nikiendelea kuchungulia dirishani mara nikamuona mama Latifa naye akitoka chumbani kwake. Asikwambie mtu! Nilihisi kuchanganyikiwa kwa muda huo, maana kitendo cha kumuona mama Latifa akitoka nje tu! Nilifahamu fika alikuwa akienda kwenye chumba cha Nurath na kumwambia mume wake, Noel kwamba nilitembea na mke wake.
Niliyakodoa macho yangu kodo! Sikutaka hata kuyapepesa hata kidogo, niliendelea kumuangalia mama Latifa kwa umakini wa hali ya juu. Alipotoka nje ya chumba chake aliongoza moja kwa moja mpaka pembeni na chumba cha Nurath ilipokuwa ndoo ndogo. Alipofika hapo akasimama kwanza. Moyo wangu ukapweta pwaaa! Kijasho chembambamba kikaanza kunitoka mwanaume.
Sikujua alikuwa na lengo gani hasa mpaka kusimama pale lakini kwa akili yangu ya kufumaniwa nilihisi alikuwa akitaka kubisha hodi kwa Nurath kisha akafanya kama alivyoniambia.
Mule ndani ya chumba changu nilipokuwepo sikutulia, nilikuwa kama mwizi ambaye alikuwa ameingia kuiba kwenye duka la muhindi kariakoo halafu baada ya dakika chache kupita mara akaanza kusikia sauti za watu wenye hasira wakisema kwamba leo ameingia mtegoni lazima wamuue. Embu fikiria mwizi huyo angekuwa katika hali gani baada ya kusikia hivyo? Basi ndivyo ambavyo na mimi nilikuwa siku hiyo, yaani sikutulia hata kidogo, nilihisi muda wowote nakamatwa.
Niliendelea kumtazama mama Latifa huku hofu ikiwa imenishika vilivyo, pale pembeni ya mlango alipokuwa amesimama akaichukua ndoo na kwenda nayo mpaka mlangoni kwake, akaingia ndani, akatoka na ndoo nyingine ya maji kisha akamimina kwenye ndoo ile nusu halafu akaenda chooni.
“Oopsss!” nilivuta pumzi ndefu na kuziachia kwa pupa baada ya kumuona mama Latifa akiingia chooni kwa wakati huo na baada ya muda mfupi kupita nikamuona akitoka kisha akenda kuingia ndani ya chumba chake ambapo alifunga mlango.
**** 
Huyu mama Latifa alikuwa ni mke wa Mzee Saidi ambaye alikuwa ni fundi furniture aliyekuwa akifanya shughuli yake hiyo mtaa wa Keko. Katika maisha yao ya ndoa, Mungu aliwabariki wakafanikiwa kupata mtoto mmoja wa kike, Latifa ambaye alikuwa na miaka minne.
Naweza kusema mama Latifa hakustahili kuolewa na mzee huyo wa makamo kwani hata katika upande wa kiumri na kimuonekano pia walitofautiana kwa kiasi kikubwa mno!
Licha ya kwamba mama latifa au Rukia kama jina lake halisi alikuwa akiishi na mzee huyo katika nyumba hiyo lakini walikuwa kama hawana maelewano mazuri kati yao. Kila siku walikuwa wakiingia kwenye ugomvi mpaka kufikia hatua mama Latifa akawa anadai kupewa talaka yake na mzee huyo.
Haya ndiyo yalikuwa maisha ya wanandoa hao, mpaka nafanikiwa kuhamia katika nyumba hiyo niliyakuta lakini kutokana na wapangaji kutokea kunichukia na kunidharau nilibaki kuwa kimya, nilishindwa hata kumuuliza mtu juu ya jambo hilo ingawa ugomvi huo mara kwa mara nilikuwa nikiushuhuidia.
Kwa harakaharaka umri wa mzee Saidi ulikuwa kwenye miaka hamsini na Rukia au mama Latifa alikuwa na miaka ishirini na nane. Hata hivyo sikutaka kufuatilia sana maisha yao kwani hata mimi nilikuwa nina maisha yangu halafu ukizingatia katika kipindi hicho nilikuwa nimeshaanza harakati zangu za kutembea na wapangaji wa nyumba hiyo, sikutaka mchezo hata kidogo hasa lilipokuja suala la kutembea na wapangaji wa nyumba hiyo.
Niliendelea na mchezo huo hatari wa kutembea na wake za watu kwenye nyumba hiyo mpaka siku hiyo ambayo mama Latifa aliniona nikiingia na Nurath chumbani kwangu.
Nilianza kuishi na hofu lakini baadae hofu hiyo ilianza kutoweka moyoni mwangu hapa ni baada ya kuona mama Latifa kama akilipuuzia tukio lile. Alionekana kama mtu asiyejali kitu lakini ukimya wake huo kumbe ulikuwa na maana kubwa mno.
Baada ya kupita siku kadhaa hatimaye wiki hiyo ya mwisho wa mwezi wa likizo niliyoomba kazini ikakatika, ikaanza wiki nyingine ya mwezi ambao nilitakiwa kurudi kazini.
Labda nikwambie kitu kimoja ambacho ulikuwa hukifahamu, pamoja na umalaya wote niliyokuwa nao lakini kwa upande wa pili wa maisha yangu, nilikuwa nikifanya kazi katika kampuni moja hapa mjini na ilikuwa ikinilipa mshahara mzuri tu!
Baada ya kumaliza likizo yangu na kurudi tena kazini, huo ndiyo ulikuwa kama mwanzo wa safari nyingine tena ya kutembea na wanawake wa mtaa huo, wengine sikuwahi kuwaza kama nitakuja kutembea nao karika maisha yangu.


Nilianza kuwa bize na kazi, kila siku nilikuwa nikiamka asubuhi na kwenda posta ilipokuwepo ofisi. Baadhi ya majirani zangu walianza kuyashangaa mabadiliko yangu hayo ya ghafla! Nakumbuka kipindi nilipokuwa nikihamia katika nyumba hiyo sikumwambia mtu yoyote kwamba nilikuwa nikifanya kazi hivyo kitendo cha kuniona kila siku nikitoka asubuhi na kurudi jioni kiliwashangaza.
“Baraka umepata kazi?” aliniuliza Subira siku moja jioni niliporudi kutoka kazini.
“Ulinitafutia hiyo kazi?” nilimuuliza swali ambalo hakulitegemea, nikamuona akiikunja sura yake kwa aibu.
“Hapana nimekuuliza tu kwani kuna ubaya jamani?”
“Mimi sijui,” nilimwambia kisha nikafungua mlango wa chumba changu, nikaingia na kujitupa kitandani. 
Akili yangu kwa muda huo ilikuwa ikimfikiria mama Latifa tu! Sikujua mpaka kufikia wakati huo ni nini alichokuwa amekidhamiria kukifanya. Ingawa alionekana kupuuzia juu ya jambo lile la kunifumania na Nurath siku ile lakini moyoni mwangu sikutaka kuamini haraka.
Niliendelea kutulia pale kitandani huku macho yangu yakitazama juu, nilijaribu kukumbuka mambo mengi niliyowahi kuyafanya katika maisha yangu. Sikumbuki kama niliwahi kukoseshwa furaha au kunyimwa amani na mwanamke katika maisha yangu. Hilo halikuwahi kunitokea kabla, sasa ilikuwaje katika kipindi hicho nikakoseshwa furaha na amani tena na mwanamke? Hili lilikuwa ni swali ambalo jibu lake lilikuwa ni hapana, sikutaka kuendelea kuishi katika maisha hayo kama ya mnyama digidigi hivyo nilichoamua kukifanya nilianzisha ukaribu na mwanaye, Latifa. Kwa kuwa alikuwa ni mtoto mdogo wa miaka minne, nilichokuwa nikikifanya kila siku nilipokuwa nikitoka kazini sikuacha kumletea zawadi ndogondogo kama vile pipi, chocolate pamoja na biskuti. Nilifanya hayo yote ili nitengeneze mazingira ya kujisafisha kwa mama Latifa ili asiweze kufichua siri kwa Noel mume wake na Nurath.
Hii ndiyo akili niliyoitumia na kadri siku zilivyokuwa zikisonga mbele Latifa alianza kunizoea mpaka kufikia hatua akawa ananiita anko. Mama Latifa alifurahi sana alipoona nikimjali na kumpenda mtoto wake zaidi na zaidi, hakujua kama upande wa pili nilifanya yale yote kama sehemu ya kujisafisha ili asinichafue kwa mume wa Nurath.
Baada ya kupita kipindi fulani nilizoeana na mama Latifa kiasi kwamba tukawa karibu sana na sababu alikuwa ni mtoto wake, Latifa. Ni hapa ambapo mama Latifa alianza kuniambia maswahibu mbalimbali aliyokuwa akiyapitia katika ndoa yake.
Mume wake mzee Saidi alikuwa na mwanamke mwingine nje, mwanzoni alimficha lakini baada ya kupita kipindi fulani alimueleza ukweli na alimuomba amruhusu kuongeza mke wa pili. Hilo lilikuwa ni jambo gumu ambalo mama Latifa hakuweza kukubaliana nalo hata kidogo.
Kutokana na itikadi ya udini aliyokuwa nayo mzee Saidi alilazimisha na kujaribu kumtolea mifano ya mtume na kwamba halikuwa ni kosa kwa yeye kuongeza mke wa pili bali ilikuwa ni suna na iliruhusiwa kuoa hata wake wanne.
Hapo ndipo ugomvi ulipoanzia, kila siku walikuwa wakigombana mpaka kufikia hatua mama Latifa akawa anadai kupewa talaka yake. Wakati akinieleza hayo tulikuwa tumekaa kwenye mgahawa mmoja uliyokuwepo Sinza Afrika sana, siku hiyo niliwahi kurudi kutoka kazini, ilikuwa ni majira ya saa saba za mchana ambapo nilimuomba mama Latifa twende katika mgahawa huo kwa ajili ya kuzungumza mambo mawili matatu.
“Baraka usione watu wanaishi kwenye ndoa ukadhani wote wanafurahia, wengine tunapitia maumivu makali sana,” aliniambia mama Latifa.
“Pole sana lakini ni kitu gani kinachokufanya ushindwe kumkumbalia aoe mke wa pili na wakati dini inaruhusu hilo?” nilimuuliza.
“Baraka sio rahisi kama unavyodhani, mimi katika maisha yangu sijawahi kuota wala kuwaza kwamba kuna siku nitakuwa mke mwenza kwanza ni kitu ambacho sipendi kitokee.”
“Mume yuko vizuri inaonyesha.”
“Kwanini?”
“Basi tu anaonekana hivyo.”
Siku hiyo nilizungumza mengi na mama Latifa, niligundua mengi yaliyokuwa yakimsibu. Alionekana kuwa msichana mdogo lakini alikuwa akipitia magumu katika ndoa yake. Sikutaka kuamini pale aliponiambia kwamba alikaa kipindi cha miezi sita bila kufanya tendo la ndoa na mume wake. Hilo lilinishangaza sana, nikamuuliza kwanini aliamua kufanya hivyo lakini alinijibu kwamba hakujisikia.
Wakati akinieleza hayo nilihisi kama mwili wangu ukiingiliwa na baridi kali, nikasisimka. Akili yangu ikahama kutoka kwenye yale mazungumzo na kuanza kufikiria hiyo miezi sita ambayo alikaa bila kufanya mapenzi.
“Baraka unaweza usiamini lakini huo ndiyo ukweli,” aliniambia.
“Unawezaje sasa kuishi na mume wako, unalala naye kitanda kimoja halafu msifanye chochote kile?” nilimuuliza huku nikishangaa.
“Ni maamuzi tu! Ukisimamia katika misimamo yako kila kitu kinawezekana,” alinijibu.
“Kwahiyo unataka kuniambia huna hisia?”
“Swali gani hilo unaloniuliza Baraka.”
“Nimekuuliza nahitaji jibu.”
“Hisia ninazo tena nyingi sana mpaka kuna muda zinaniumiza.”
“Mmh!”
“Nini?” 
“Hakuna kitu.”
“Baraka.”
“Niambie.”
“Unakumbuka siku ile ambayo niliwaona mkiingia chumbani na Nurath.”
“Ndiyo inamaana mpaka leo hayajaisha tu! Jamaniiii.”
“Hapana sina maana hiyo Baraka ila nilisikia kila kitu ulichokuwa ukikifanya na Nurath, huwezi kuamini hisia ziliniumiza mno mpaka nikaamua kuingia ndani kwangu na kuanza kujichezea,” aliniambia mama Latifa lakini hakuishia kuniambia hivyo tu! Aliendelea kuniambia jinsi alivyokuwa akijisikia kwa wakati huo na kwamba alitamani sana nifanye naye kile kitendo.
Sikutaka kuamini aliponiambia hivyo, nilishikwa na bumbuwazi, macho yalinitoka kwa mshangao. Nilihisi labda nilikuwa katika ndoto na muda wowote ningeamka na kujikuta nipo kitandani lakini ukweli ni kwamba nilikuwa katika uhalisia na mama Latifa ndiye ambaye alikuwa akiyazungumza maneno hayo.
Wakati nikiendelea kumtazama mama Latifa nilimuona akianza kubadilika, macho yake akayalegeza, yalirembuka kwelikweli kiasi kwamba nikaanza kupata wakati mgumu kuendelea kumtazama.
Alionekana kuwa na uhitaji mkubwa sana wa kufanya mapenzi, alishindwa kujizuia, akaupenyeza mguu wake chini ya meza, akaanza kunipapasa nao. Ulikuwa ni kama mchezo ambao alikuwa akiufanya kwa dakika kadhaa na kila alipokuwa akinipapasa alinitazama usoni kuona kama ningemwambia kitu gani?
Nilibaki kimya, sikuzungumza kitu zaidi ya kuendelea kumtazama huku nikitabasamu tabasamu lililomaanisha nipe nikupe. Sikutaka kujifanya mjuaji sana, alipokuwa akiendelea kuupitisha mguu wake mpaka kufikia sehemu nyeti niliukamata na kuuondoa.
“Unataka kufanya nini?” nilimuuliza huku nikijifanya kuogopa watu waliyokuwepo sehemu hiyo.
“Kwani unaogopa nini?” aliniuliza.
“Huoni watu?”
“Basi twende gesti kama unaogopa watu ila tusikae sana, ikifika saa kumi nataka niwe nyumbani mwanangu Latifa atakuwa amenililia sana.”
Aliponiambia hivyo sikutaka kupoteza muda, niliangalia saa yangu, ilikuwa imetimia saa nane kamili. Nilifahamu kwamba nilikuwa nina masaa mawili tu! ya kutumia naye hivyo sikutakiwa kupoteza hata dakika moja. Nilienda kuchukua chumba kwenye lodge moja ambapo nililipia kwa show time kisha tukaingia ndani.
Kitendo cha kuingia na mama Latifa ndani ya chumba hicho kilikuwa ni sawa na mbuzi kwenda kufia kwa muuza supu au embe kuanguka miguuni mwa watu. Sikutaka kuchelewa hata kidogo, haraka nilikivamia kifua chake kilichosimama dede na kuanza kukiminyaminya kwa staili ya staki nataka. Mama Latifa akaanza kuhema huku macho yake akiyalegeza.
Hivi unajua nini kinachotokea baada ya kichaa kupewa rungu? Jibu lake ni mauaji tu!
Licha ya mama Latifa kunipa ruhusu ya kukichezea kifua chake, ni kama vile aliona sifaidi kitu, alichoamua kukifanya akaitoa nguo yake ya juu, embe bolibo zote zikawa zinanitazama kama vile zinaniambia “nishindwe mwenyewe sasa.”Nilikuwa mtundu sana wa kufanya mapenzi, vurugu zote za ndani ya sita kwa sita nilikuwa nikizijua, hakukuwa kuna kitu kigeni kwangu. Nilianza kuzichezea embe bolibo za mama Latifa kwa kutumia viganja vyangu halafu nikawa kama naziminyaminya kama kawaida, sikuishia hapo, nikaanza kuzifyoza kwa madoido huku nikiutumia ulimi kusafisha vyema kila engo. Mpaka kufikia hapo acha mama Latifa achachawe, alilegea vya kutosha.
Kwa kuwa alikaa muda mrefu bila kufanya mapenzi na alionekana kumisi kufanya mambo yale, nikashangaa akipata nguvu za ghafla! Akanivua nguo zote kisha akanivamia mpaka kwenye makazi ya mkuu wa wilaya. Sijui hata alifanya nini bana, nikaanza kuhema kwa kasi.
Mpaka kufikia muda huo wote tulikuwa tumehamia ulimwengu mwingine, tuliendelea kufanyiana vurugu zote za mambo ya chumbani zaidi na zaidi na hata nilipomgusa mama Latifa pale na yeye pia alinigusa hapa.
Niliamini hiyo ilikuwa ni nafasi ya dhahabu ambayo sikuitegemea na nilitakiwa kuitumia ipasavyo ili siku nyingine ijirudie. kwa kuwa sehemu hiyo palikuwa na utulivu wa hali ya juu, niliamua kumchinjia baharini mama Latifa ambapo mpaka muda niliyomaliza alinisifu na kunishukuru kwa kumpunguzia mzigo mzito aliyokuwa ameubeba.
Baada ya kumaliza hatukutakiwa kukaa sana kwani muda ulikuwa umeenda, tulienda kuoga na baada ya kumaliza tulijiandaa na kuondoka sehemu hiyo.
****
Moyo wangu ulikuwa ni wenye amani na furaha sana baada ya kufanikiwa kufanya mapenzi na mama Latifa. Licha ya kwamba alikuwa ni mke wa Mzee Saidi lakini hakuonekana kujali hilo, alianza kunijali kama mume wake wa ndoa kiasi kwamba kuna muda nilibaki nikishangaa tu! sikuamini kile nilichokuwa nikikiona, ingawa haikuwa ni mara ya kwanza tukio kama hilo kunitokea.
“Kwanini unafanya yote haya?” nilimuuliza mama Latifa kwenye meseji.
“Kwasababu nakupenda, sijui hisia zangu zikoje yaani tangu nilipolala na wewe sitamani hata kulala na huyu mwanaume,” alinijibu. 
“Damn! Inamaana hujisikii chochote ukiwa naye?”
“Sitaki hata kuruhusu moyo wangu ufikirie chochote juu yake, sina hisia na huyu mwanaume Baraka.”
“Lakini unamuumiza baba wa watu.”
“Yeye mwenyewe hazijali hisia zangu, hajali lolote kuhusu mimi anafikiria kuongeza mke wa pili.”
“Hivi mumeo ni Shekhe kwani?”
“Sijui mimi.”
“Mmh! Basi niambie siku yako imeendaje leo.”
“Imeenda poa ila umeanza kunitibua nyongo.”
“Nimefanyaje tena?”
“Si hivyo unaniulizia habari za huyu kichefuchefu.”
“Nani?”
“Mume wangu.”
“Jamani kwani nimefanya kosa kukuuliza?”
“Sitaki kusikia habari za huyu mwanaume, ninamchukia wewe hujui tu, yaani kama si huyo mtoto niliyezaa naye ningeshaondoka zangu, nimemchoka Baraka.”
“Heee!.”
“Nini na wewe?”
“Nimekumisiiiii.”
“Umemisi nini?”
“Kulaliana na wewe.”
“Mmh!”
“Kweli nimemisi kukuona.”
“Kwani hujaniona?.”
“Nataka kukuona zaidi ya hapo.”
“Kivipi?”
“Nimemisi kukishika kiuno chako, kuangalia hips na vingine vingi.”
“Vitaje vyote.”
“Sitamaliza ila wewe elewa kwamba nimekumisi zaidi ya ufikiriavyo.”
“Jamani Baraka sasa tutafanyaje na baba Latifa karibu anarudi.”
“Sijui tunafanyaje.”
“Mmmh!”
“Nini?”
“Subiri nitakwambia basi.”
“Sawa.”
Nilipomaliza kuchati na mama Latifa mara Subira na yeye akanitumia ujumbe wa salamu, nilitabasamu baada ya kuusoma ujumbe huo aliyonitumia lakini kutokana na hakuwa mpenzi wangu wala mke wangu wa ndoa sikutaka kumjibu kitu.
Baada ya kupita dakika kadhaa bila ya kumjibu lolote japokuwa alinitumia meseji zaidi ya tatu na zote nilizisoma mwisho aliamua kunipigia simu, sikupokea, nikawa nakata, kitendo hicho nadhani kilimuudhi mno! Akaamua kunitumia ujumbe mwingine tena.
“Barakaaa jibu basi meseji zangu,” alinitumia meseji lakini sikuijibu, niliendelea kukaa kimya.
Sio kwamba nilifanya makusudi kutokujibu meseji na kupokea simu ya Subira kwa wakati huo la, ukweli ni kwamba sikuwa nina hisia zozote juu yake. Kama ni kufanya mapenzi nilishafanya naye sana hivyo sikuona kama kulikuwa kuna sababu zozote za kutufanya tuendelee kuwa wapenzi na wakati alikuwa ni mke wa mtu.
Subira alionekana kuwa mgumu kuelewa hilo, japokuwa nilimueleza ukweli wote kwamba sikuhitaji kuwa naye lakini mara kwa mara alikuwa akinisumbua, alihitaji kuendelea kuwa na mahusiano na mimi, alienda mbali zaidi na kuniambia kwamba hakuwa tayari kunipoteza kirahisi hivyo angefanya lolote ilimradi ahakikishe anaendelea kulifaidi penzi langu.
Aliponiambia hivyo nilitabasamu, ni kama vile alikuwa akijisumbua kumfuga kunguru kwenye banda kitu ambacho hakiwezekani hata kidogo.
****
Niliendelea kuwa na ukaribu na Latifa, kila nilipokuwa nikitoka ofisini sikuacha kumletea zawadi kama kawaida. Alizidi kunizoea kiasi kwamba hata siku za wikiendi ambazo sikwenda kazini alikuwa akija ndani kwangu na kushinda naye siku nzima.
Sikumbuki ni nini kilitokea ila nilishangaa siku moja majira ya usiku mzee Saidi akinifuata chumbani kwangu na kuanza kunipiga marufuku kuwa karibu na mke wake pamoja na mtoto wake, Latifa. Wakati alipokuwa akiniambia hayo alionekana dhahiri kuwa na wivu uliyopitiliza kikomo, yaani alionekana kuwa na wivu kiasi kwamba hata alipokuwa akizungumza machozi yalikuwa kama yanamlengalenga. Baada ya kuniambia hivyo aliondoka na kuubamiza mlango wa chumba changu.
Nilibaki nikicheka peke yangu kama mwendawazimu, nilifahamu fika kwamba mzee Saidi hakujua kwamba nilitembea na mke wake, zile hasira alizonionyesha pamoja na mikwara yake mbuzi wala haikunitisha lolote isipokuwa ndiyo kwanza nilijisemea kimoyomoyo kwamba lazima niendelee kutembeza dozi kwenye nyumba hiyo mpaka wanikome. 
Katika maisha yangu sipendi dharau, napenda kuishi maisha yangu lakini anapotokea mtu na kunidharau au kunichukulia kama boya huwa nalizimika kumuonyesha makucha yangu yalivyo. Hiyo ndiyo ilikuwa desturi yangu. Mzee Saidi alipokuja kunichimba mkwara siku ile, sikuacha kutembea na mke wake, niliendelea kutembea na mama Latifa mpaka pale na yeye nilipomchoka na kuanza kumfuatilia mpangaji mwingine. Wala sikuchoka, nilifanya kama ndiyo kazi yangu ya pili iliyokuwa ikiniweka mjini.
****

ITAENDELEA