Tuesday, 7 May 2019

Faida 10 za kufanya mapenzi asubuhi kiafya.

Faida 10 za kufanya mapenzi asubuhi kiafya.
Faida 10 za kufanya mapenzi asubuhi kiafya.
Wanasayansi wamekuwa wakifanya tafiti mbalimbali zinazohusu maswala ya Mapenzi na wengi wao wanagundua kuwa kufanya ngono ama mapenzi si tu kujihisi au kujisikia vizuri. Pia inaweza kuwa nzuri kwa ajili ya Afya zenu. Hapa ni kile ambacho maisha ya kimapenzi kiafya yanaweza kufanya kwa ajili yenu au yako. Soma zaidi hasa kwa wanandoa ufahamu faida hizi za kushangaza za kufanya mapenzi asubuhi.

FAIDA ZA KUFANYA MAPENZI ASUBUHI
i) Husaidia kuweka mfumo wa kinga yako vizuri
ii) Inaongeza hamu ya kufanya mapenzi zaidi/ boosts libido
iii) huimarisha kibofu cha mkojo kwa Wanawake.
iv) Hupunguza shinikizo la damu.
v) Huhesabika kama moja ya Zoezi.
vi) hupunguza hatari ya kupata shambulio la moyo.
vii) Hupunguza maumivu ya mwili
viii) Inaweza kupunguza uwezekano wa kupata kansa ya tezi dume / Prostate Cancer
ix) Inaboresha hali ya usingizi
x) Hupunguza Msongo wa Mawazo

Ondoa chunusi na mabaka usoni ndani ya siku tatu.