Saturday, 13 April 2019

Vitu vinavyowakera wanawake waliopo katika mahusiano.

Vitu vinavyowakera wanawake waliopo katika mahusiano.

Vitu vinavyowakera wanawake waliopo katika mahusiano.
Yafutayo ndiyo mambo ambayo wanawake huwa wanakereka sana wanapofanyiwa na wanaume zao katika suala la mahusiano, Japo wanaume wengi huwa  hawawazi kama wanayofanya huenda wakawa wanawakosea wake zao. Ila wanaume ambao wanasoma makala haya pindi utakaposoma  makala hii unatakiwa kubadilika mara moja ili usiwe unamkwaza mkeo kwa makusudi.

Yafuatayo ndiyo mambo wanawake wengi huwa yanawakera wawapo katika mahusiano:
1. Mwanaume mwenye madaraka kuyapeleka madaraka hayo mpaka  nyumbani kwake.

2. Wake kuwajibika na mambo ya nyumbani kwa vile wana mishahara minono.

3. Wababa kutotenga muda wa kutosha kukaa na wake zao ili kuongea yanayowahusu

4. Mume kumwachia mke kulea watoto hasa wakati wa usiku